Mimi ni mwanafunzi wa Information and Communication Technology (ICT) niliyejikita zaidi kwenye masuala ya Full-Stack Web Development, Mifumo ya Usimamizi, na Usalama wa Mifumo (Cybersecurity). Napenda kutumia mifumo thabiti ya kidijitali kutatua changamoto za kijamii na kibiashara mtaani.
Hapa ni baadhi ya kazi zangu kubwa ninazofanyia kazi kwenye akaunti hii:
- Constitution Awareness Chatbot - Mfumo wa elimu ya katiba kwa wananchi wa Tanzania kwa kutumia chatbot ya Kiswahili fasaha.
- Staff Permission System - Mfumo wa kidijitali wa kurahisisha maombi na usimamizi wa ruhusa kwa wafanyakazi maofisini.
- Frank Hardware Hub POS - Mfumo wa kompyuta (Desktop Simulation) wa usimamizi wa mauzo na stoo kwa ajili ya duka la ujenzi lililopo Mpemba.
- Lugha & Scripting: HTML5, CSS3, JavaScript (ES6), PHP.
- Database Management: MySQL.
- Zana za Kazi (Tools): Git, GitHub, VS Code, XAMPP, VirtualBox Linux Servers.
Naamini katika mifumo yenye Kasi na Focus (kama falsafa ya akina McDonald) na yenye Accuracy ya hali ya juu. Lengo langu ni kuendelea kujenga mifumo salama inayorahisisha maisha ya kila siku na kuleta tija kwenye sekta ya biashara na elimu.
π "Systems thinking and focus deliver true impact."